BREAKING NEWS

[5]

NATAKA NIMJUE YESU

Mpenzi msomaji Biblia katika kitabu cha Ayubu 22:21 inasema "Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia.

UNA MPANGO GANI NA KUMTAFUTA NA KUMJUA MUNGU ZAIDI?
Nini haja ya moyo wako na ombi lako kwa mwaka 2015?..nini sababu yako ya kuishi?
Mfalme Daudi anasema na hili natamani liwe ni ombi letu sote  katika wakati huu tulionao katika ulimwengu uliojaa mashaka na hofu.. 

Zaburi 27:4 Neno Moja nimelitaka kwa Bwana, Nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa Bwana Siku zote za maisha yangu, Niutazame uzuri wa Bwana, Na kutafakari hekaluni mwake.

Salama pekee ya maisha yetu kwa wakati wa sasa na ujao ni kuishi kwa kuzifuata sheria na kanuni za MUNGU..

OMBA UMJUE MUNGU NA YESU KRISTO ALIYEMTUMA ULIMWENGU,HAPO NDIPO UTAKAPOONA SABABU NA MAANA HALISI YA MAISHA!

Ungana na mwimbaji Christina Shusho na Mwombe MUNGU ajifunue kwako umjue Zaidi na wema wake..
kwa msaada zaidi:Bonyeza Hapa

NATAKA NIMJUE YESU NATAKA NIMJUE YESU Reviewed by Unknown on 4:51 PM Rating: 5

Sora Templates